HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos
Mtu 1 auawa kimakosa kwa risasi Miritini kufuatia patashika

Mtu mmoja ameuawa na wengine watatu kujeruhiwa vibaya kufuatia mvutano kati ya wananchi na polisi waliokua wakiwazuia kumchoma mshukiwa wa ugaidi katika eneo la miritini kaunti ya Mombasa.
Inadaiwa kuwa polisi walifyatua risasi hewani kama njia ya kujikinga kutokana na umati huo lakini zikawapata wananchi hao na kuibu hamaki.