HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Kaunti ya Marsabit yajivunia barabara bora na kilimo kuimarika

Ni mwaka wa sita tangu kuzinduliwa kwa serikali za kaunti na awamu ya pili ya ugatuzi inaendelezwa ambapo serikali tofauti zimeanzisha miradi mbalimbali kwa manufaa ya wakaazi wa maeneo hayo.
Kaunti ya Marsabit ni mojawapo ya kaunti zilizonufaika na ujio wa ugatuzi, mgao wa fedha katika kaunti hii umetumika kuleta maendeleo kwa kuanzisha miradi ya ujenzi wa barabara, kuimarisha sekta ya afya na kilimo miongoni mwa nguzo nne kuu za serikali ya kitaifa.
Mwanahabari wetu Daniel Kariuki amerejea kutoka kaunti ya Marsabit na anasimulia ni kwa nini kaunti hii inazidi kufurahia matunda ya ugatuzi .

Show More

Related Articles