HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Kufungwa kwa kichinjio Kiamaiko na NEMA kumeibua kiwewe

Wapenzi wa nyama ya mbuzi katika maeneo mengi ya Nairobi watashuhudia uhaba wa mlo huo kwa muda usiojulikana, baada mamlaka ya kitaifa kuhusu mazingira NEMA, kufunga kichinjio cha Kiamaiko, ambako mbuzi wengi huchinjwa kila siku.

Show More

Related Articles