Mediamax Network Limited

Kocha wa zamani wa Harambee Stars Henri Michel aaga dunia

Kocha wa zamani wa Harambee Stars Henri Michel ameaga dunia .  Michel mzaliwa wa Ufaransa ameaga akiwa na miaka 70 .

Aliichukua usukani wa kuikufunzi Harambee Stars tarehe 29 mwezi Agosti mwaka wa 2018 na kuondoka Disemba mwaka huo