HabariMilele FmSwahili

Balozi Nic Hailey :Uingereza itaendelea kuunga mkono juhudi za kufanikisha ugatuzi nchin

Serikali ya Uingereza itaendelea kuunga mkono juhudi za kufanikisha ugatuzi nchini. Balozi wa Wingereza nchini Nic Hailey amezihimiza serikali za kaunti kuboresha usimamizi wa fedha za kaunti. Akihutubu katika kongamano la ugatuzi mjini Kakamega Hailey amesema kuwa ili kuafikiwa kwa ruwaza ya mwaka 2030 serikali za kaunti zinapaswa kukabili wizi wa fedha unaoathiri utekelezaji wa ugatuzi. Pia amewahimiza magavana kuwahusisha zaidi umma katika utekelezaji miradi ili kuafiki malengo yao.

Show More

Related Articles