HabariMilele FmSwahili

Rais Uhuru kufungau rasmi kongamano la tano la ugatuzi Kakamega

Rais Uhuru Kenyatta leo atafungua rasmi kongamano la tano la ugatuzi linaloandaliwa huko Kakamega. Rais anatarajiwa kuzungumzia ufanisi wa ugatuzi tangu alipochukua uongozi. Katika hotuba yake pia ataangazia ushirikiano baina ya serikali kuu na zile za kaunti.

Show More

Related Articles