HabariPilipili FmPilipili FM News

Tatizo La Maji Kuisha Lamu

Huenda wakazi wa Lamu wakapata afueni kuhusu tatizo la uhaba wa maji, kufuatia mikakati inayowekwa na wizara ya maji katika kaunti hiyo.

Waziri wa maji Simon Chelugui akiongea kwenye kikao na wadau Katika sekta hiyo eneo hili la pwani, ametaja mradi wa kuzalisha maji safi ya kunywa kutoka kwa maji ya bahari  kuwa miongoni mwa miradi inayotekelezwa na serikali kupitia wizara hiyo.

Mengine ni kujenga mabwawa ya kuvuna na kuhifadhi maji katika maeneo mbalimbali ya nchi.

Show More

Related Articles