HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Wakaazi wa Makueni wajivunia mengi katika kilimo na sekta ya afya

Kaunti ya Makueni ni mojawapo ya kaunti zinazojivunia matumizi mazuri ya fedha za serikali za mashinani , ambayo yamepelekea kujengwa kwa viwanda vya maziwa , matunda , na hata kuimarishwa kwa sekta ya afya.

Huku kongamano la ugatuzi likifanyika Kakamega, kwa wanamakueni , ugatuzi , ungeanza tu baada ya kenya kupata uhuru.

Show More

Related Articles