HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Mipango ya mazishi ya Matiba yakamilika huku misa 2 za wafu zikiandaliwa

Mipango ya mazishi ya mwendazake Kenneth Matiba yamekamilika na wakenya wote wamealikwa kuhudhuria ibada ya wafu katika kanisa la all saints nairobi na kisha kujiunga na msafara kuelekea nyumbani kwake kwa hafla ya mazishi katika uwanja wa ihura, kaunti ya Murang’a.

Hata hivyo, haijabainika haswa mwendazake atazikwa eneo lipi au iwapo mwili wake utachomwa kulingana na wosia wa marehemu alipokuwa hai miaka ya tisini.

Show More

Related Articles