HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Maafisa wa KeNHA wabomoa vibanda Kangundo Rd na Kangemi

Wenyeji wa Kangemi hasaa wafanyiabiashara wameamkia hasara hii leo, baada ya soko lao kubomolewa usiku wa kumkia leo na mamlaka ya kusimamia ujenzi wa barabara kuu nchini, KENHA.

Ubomoaji huo unajiri, siku kadhaa baada ya vituo vya uchukuzi wa umma visivyofaa katika barabara kuu hapa kubomolewa.

Huku wakikadiria hasara, na wengine kupinga ubomoaji huo, ni hatua ambayo imeamuliwa na jopo maalum lililozinduliwa na rais Uhuru Kenyatta, katika juhudi za kuimarisha sura ya jiji.

Show More

Related Articles