HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Miili ya watu 5 kati ya 7 walioangamia Kinangop yatambulika

Miili ya watu watano kati ya saba waliofariki wakati gari aina ya probox walimokuwa wakiabiri kusombwa na maji imepatikana.
Miili miwili ya wanawake wa makamo ingali kubainika huku familia za waliotambua wapendwa wao wakianza shughuli za masishi.

Haya yanajiri huku shughuli za uchukuzi kati ya ziwa Bogoria na mjini Marigat zikitatizwa baada ya daraja la kuunganisha maeneo hayo kusombwa na mafuriko kufuatia gharika jana usiku.

Show More

Related Articles