HabariMilele FmSwahili

Kongamano la 5 la kitaifa la ugatuzi Kung’oa nanga leo kaunti ya Kakamega

Kongamano la 5 la kitaifa la ugatuzi linangoa nagnga leo katika kaunti ya Kakamega. Kongamano hilo la siku tano litatumika kati ya mengine kujadili ufanisi na changamoto za utekelezaji ugatuzi katika kipindi cha miaka minne iliyopita. Kulingana na naibu mwenyekiti wa baraza la magavana Anne Waiguru pamoja na wajumbe zaidi ya 800 watakaohudhuria watajadili kwa kina mbinu za kufanuikisha ajenda nne kuu za muhula wa pili wa utawala wa rais Kenyatta.

Rais Uhuru Kenyatta naibu wake William Ruto na kiongozi wa upinzani Raila Odinga watahutubia kongamano hilo.

Show More

Related Articles