HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Churchil Otieno achaguliwa kama mwenyekiti wa chama cha wahariri nchini

Wanachama wa chama cha wahariri nchini almaarufu Editors Guild hii leo wamemchagua Churchill Otieno  kama mwenyekiti wao.

Kwenye uchaguzi uliofanyika hii leo wanachama hao pia walimteua Maina Chege kama Naibu Mwenyekiti ,Christine Nguku kama karani naye mweka hazina wakamchagua Arthur Okwemba.

Show More

Related Articles