HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Kenyatta asistiza kuwa maafikiano na Odinga ni hatua ya kuleta umoja nchini

Rais Uhuru Kenyatta katika mahojiano ya moja kwa moja na runinga ya CNN hapo jana amekiri kwamba siasa humu nchini hazitasalia kuwa kizuizi katika kufanikisha ari yake ya maendeleo kwa wakenya huku akisema kwamba ni wakati wakenya wote waungane.

Rais Kenyatta akisisitiza kwamba maafikiano baina yake na kiongozi wa upinzani Raila Odinga itafanikisha hayo huku wakenya waliopoteza maisha yao wakati wa uchaguzi wakiombolezwa.

Vile Kenyatta alizugumzia swala la ndoa ya jinsia moja na kusema kwamba hilo ni jambo ambalo halina maana na nafasi humu nchini.

Show More

Related Articles