HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Masaibu ya Mafundi wa majeneza tangu marufuku ya ukataji miti

Huku marafuku ya ukataji miti ikiendelea nchini baadhi ya wanaotegemea mbao kuunda bidhaa za kazi wanajipata pabaya mwakani sasa mbao ni bidhaa adimu mno.
Kutana na mafundi wa majeneza Jonsaga, eneo ya Huruma kaunti ya Nairobi ambao wanasema kuwa  biashara yao imezorota kutoka na marufuku hiyo.

Show More

Related Articles