HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Rais mstaafu Mwai Kibaki aitembelea familia ya mwendazake Kenneth Matiba

Rais mstaafu Mwai Kibaki hii leo ametembelea familia ya marehemu Kenneth Matiba nyumbani kwake Limuru na kujumuika na familia na marafiki katika kumuomboleza mwanasiasa mkongwe mwendazake Kenneth huku akiifariji familia yake.

Hata hivyo kamati andalizi haijatangaza tarehe na siku ya mazishi ya mwendazake huku ibada mbili za wafu zikitarajiwa alhamisi na ijumaa.

Show More

Related Articles