Mediamax Network Limited

Bahati Ahuzunishwa Na Hatua Ya Harmonize Kutoisukuma Kazi Ya WillyPaul

 

Bahati afunguka kwa nini kaachia kazi nyingine “CHIGI CHIGI” kabala yakusukuma ile waliokua wamefanya na Aslay .

Akizungumza na kassim mbui kwa njia ya kipekee ndani ya kipindi cha #MisheMishe Bahati amesema kilicho fanya asi sukume   ni kwa sababu ile Ngoma haikua yake ila ya  Asalay. yeye alikua tu ameshirikishwa.

HII SCENARIO NI DIFFERENT ASLAY YEYE NDIYE ANANIHITAJI SI  THE OTHER WAY ROUND.

ANI POST AU ASI NI POST HANIONGEZEI, MIMI NIMETOSHEKA NA SUPPORT YA WAKENYA.

Wakati Uo huo Bahati ameonesha kuhuzunishwa  na hatua ya Harmonize kutoisukuma PILIPILI REMIX alio Ifanya  na willypaul, na Kusema

NADHANI WANAFAA WAMPOST AMEGHARAMIKA ZAIDI, WAJUA MIMI NILI LIPIWA NDEGE KWENDA HADI ZANZIBAR.

AND OFCORSE NA FEEL PAIN SIWAJUA ULE NI NDUGU YANGU NA TUMETOKA CHINI PAMOJA BUT PIA HAFAI KUCOMPALIN SANA.

Baba Heaven pia amefutilia mbali madi kwamba nyimbo zake si za ndini na kuwaomba wafuasi wake kuziskiza kwa makini wala sio juu juu.