HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Naibu rais Ruto na Raila Odinga waifariji familia ya marehemu

Naibu rais William Ruto ameambatana na kiongozi wa upinzani Raila Odinga kuifariji familia ya mwendazake mwanasiasa mkongwe Kenneth Matiba nyumbani kwake Riara Ridge.

Wawili hao wamemtaja matiba kama kiongozi aliyejitolea pakubwa kuhakikisha taifa linapiga hatua kubwa kimaendeleo.

Wakati huo huo kamati andalizi ya mazishi ya mwendazake mwanasiasa mkongwe Kenneth Matiba imeratibu ibada mbili za wafu kwa mwendazake juma lijalo ili umma kuhudhuria.

Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker