HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mgaagaa na Upwa : Ignatius Ogeto ‘DJ EUPHORIQUE’ ni mchezaji Santuri mwenye ulemavu

Ignatius Ogeto ndilo jina lake, haswa nyumbani kwao katika kaunti ya Kisii. Ila hapa jijini Nairobi anajulikana kama dj euphorique. ni mcheza santuri mtajika katika ulingo wa nyimbo za injili.
Hata hivyo ni mlemavu, na humbidi, kutumia kiti cha walemavu, anapoendelea, na kazi yake. Hata hivyo ni kati ya watu wachahce walio katika hali hiyo ambao wameikubali na kuamua kujipa rizki kwa njia ya kucheza santuri kuliko kuomba omba.
Mwanahabari wetu Joab Mwaura, alimpata mtaa wa jamhuri hapa jijini nairobi na ndiye anayetupambia makala ya Mgaagaa na Upwa wiki hii.

Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker