HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Watu elfu 33 wamehama makwao katika kaunti 10 kutokana na mafuriko

Watu elfu 33 na mia tano wamehama makwao kutokana na athari za mafuriko .
Kulingana na katibu mkuu wa shirika la msalaba mwekundu Abbass Gullet , kaunti kumi zimeathiriwa na mafuriko hayo.
Kaunti za Tana river , Kisumu na Isiolo zikiwa ndizo zilizoathirika zaidi.

Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker