HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

IEBC : Uchaguzi mdogo kuendelea

Huku sarakasi zikiendelea katika tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC, maandalizi ya uchaguzi mdogo katika wadi za Kinondo kaunti ya Kwale na Ruguru katika kaunti ya Nyeri ziliendelea bila wasi wasi.
Karatasi na masanduku ya kupigia kura yamewasilishwa katika vituo mbali mbali, tayari kwa kinyang’anyiro.

Kama anavyotuarifu mwanahabari wetu Kiama Kariuki, makamishna wawili wa IEBC waliosalia watatumwa katika maeneo ya Kinondo na Ruguru kusimamia uchaguzi huo mdogo

Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker