HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mama aliyejifungua Huruma Nursing Home aelezea njama ya kumuiba mwanaye

Kisa kimoja kilichozua gumzo kwenye mitandao ya kijamii, kisa kilichodokeza kuwa mama mmoja alikuwa ameibiwa mtoto aliyejifungua akiwa salama na kisha kubadilishiwa na mtoto aliyekuwa amefariki.
Kisa hiki kilitokea katika zahanati moja mtaani huruma.
Mwanahabari wetu Franklin Wallah hii leo amekutana na familia husika na hata kufanya upekuzi wa suala hilo katika hospitali yenyewe na hii hapa taarifa yake.

Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker