HabariMilele FmSwahili

William Ruto :Serikali itaunga mkono upasishwaji wa mswaada kuhusu usawa wa jisnia

Serikali itaunga mkono upasishwaji wa mswaada kuhusu usawa wa jisnia. Naibu rais William Ruto anasema mswaad huu ni muhimu kuafikia usawa na kupewa kipau mbele masuala ya akina mama katika agenda ya taifa. Akizungumza baada ya kukutana na maseneta wa kike, Ruto amewataka kutumia nafasi zao kushinikiza agenda za akina mama, vijana na watu wenye changamoto ya ulemavu, ikiwemo kuwahimiza kutumia asilimia 30 ya nafais za uagizaji ambazo wametengewa na serikali. Ruto pia amewataka kuhakikisha wanatumia fursa yao kama maseneta kulinda ugatuzi.

Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker