HabariMilele FmSwahili

COTU yataka serikali kuchukulia hatua kampuni zinazolenga kupora mali ya Kenya Power

Muungano wa vyama vya wafanyikazi COTU unaitaka serikali kuchukau hatua dhidi ya kampuni ambazo zinalenga kupora mali ya Kenya Power. Hii ni kuokana na malalamishi kuhusu kukatizwa huduma za umeme maeneo mbalimbali nchini na pia kuongezewa gharama ya umeme kiholela. Katibu mkuu Francis Atwoli anasema kuathiriwa huduma ya utoaji umeme kupitia njia ya Tokens kumeathiri shughuli za wafanyibaishara na kuathiri uchumi wa taifa kwa muda wa siku tatu ambazo huduma hiyo haikuwa inapatikana. Ametaka kampuni mbili zinazotoa huduma hizo kuchunguzwa na kufanyiwa ukaguzi.

Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker