HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Bunge laanza mikakati kubuni jopo la uteuzi wa makamishna wa IEBC

Bunge la kitaifa tayari limeanzisha mchakato wa kuafikia marekebisho kwenye sheria zinazoilinda tume huru ya uchaguzi na kuratibu mipaka, IEBC kwa misingi ya kuweka mikakati ya jinsi ya kubuni jopo litakalokuwa linasimamia uteuzi wa makamishna wa tume ya IEBC.

Kwa sasa wabunge wamemuomba mwenyekiti Wafula Chebukati kujiondoa kwa hiari yeye pamoja na makamishna Abdi Guliye na Boya Molu ili kuwezesha zoezi la kuwasaka makamishana wapya kuanza sheria hiyo itakapopasishwa huku tume ya IEBC ikidai kuwa walinzi wa makamishna watatu waliosalia mwenyekiti Wafula Chebukati na makamishna Abdi Guliye na Boya Molu wameondolewa kwa njia ya kutatanisha.

Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker