HabariMilele FmSwahili

Duale amtaka Chebukati na makamishna waliosalia wa IEBC kujiuzulu

Kiongozi wa wengi bungeni Aden Duale amemtaka mwenyekiti wa IEBC Wafula Chebukati,makamishena Boya Molu na Abdi Guliye kujiuzulu kuruhusu kubuniwa upya tume hiyo. Duale amemshtumu Chebukati kwa kusalia afisini licha ya kufahamu hakuna shuguli anayofanya kufuatia kujiuzulu kwa naibu wake Connie Nkatha na makamaishena Paul Kurgat na Margret mwachanya akimtaka kufuata mkondo huo. Anasema ameiandakia kamati ya haki na sheria bungeni kuanzisha mchakato wa kuwabandua watatu hao iwapo watadinda.

Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker