HabariMilele FmSwahili

Watu 2 wafariki katika ajali kwenye bara bara ya Chavakali kuelekea Kapsabet

Watu 2 wamefariki na wengine 3 wakilazwa katika hospitali ya Kaimosi baada ya kuhusika kwenye ajali katika sehemu ya msasa. Ajali hiyo ilitokea baada ya gari walimokuwa wakisafiria kugongana na basi kwenye barabraa ya Chavakali kuelekea Kapsabet. Walioshuhudia wanasema dereva wa gari hilo alipoteza mwelekeo na kuligonga basi hilo.

Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker