HabariPilipili FmPilipili FM News

Vijana Waombwa Kujiepusha Na Uhalifu Na Kutumia Talata zao- Kwale

Vijana  kaunti ya kwale wamehimizwa  kutumia talanta zao  kujipatia mapato  pamoja na kujiepusha  na uhalifu.

Wito huu umetolewa  na viongozi mbalimbali kwale katika  michuano  ya timu ya Magutu na Uventers huko ukunda  mchuano uliolenga  kuleta uhusiano mwema baina ya polisi na jamii  chini ya udhamini wa shirika la kutetea haki za kibinadamu  la HUDA .

 

Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker