HabariMilele FmSwahili

Mbunge Mulyungi :Bunge litatumia katiba kumwondoa Chebukati na makamishna wa IEBC waliosalia

Bunge litatumia sheria zilizoko kwenye katiba kumwondoa mwenyekiti wa IEBC Wafula Chebukati na makamishna waliosalia. Ndio usemi wa mbunge wa Mwingi ya kati Gedion Mulyungi anayesema kujiondoa kwao kutatoa nafasi ya kufanyika marekebisho yanayostahili kwenye tume hiyo. Anasema bunge litawezeshwa kuanzishwa mchakato wa kuweka tume nyingine kabla ya uchaguzi wa mwaka 2022. Haya yanajiri baada ya kujiuzulu kwa makamishna 3 wa tume hiyo Connie Nkatha Paul Kurgat na Magret Mwachanya.

Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker