HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Wakazi walazimika kuhama makwao eneo la Ahero-Kisumu

Mvua kubwa inayonyesha katika sehemu mbali mbali za nchi inazidi kutatiza wakenya , huku mamia ya wenyeji wa eneo la Ahero , kaunti ya Kisumu wakilazimika kuhama makwao, huku taswira kama hiyo ikishuhudiwa katika eneo la Tana River.

Frankline Macharia anasimulia kuhusu masaibu ya masika ambayo pia yametatiza eneo la Suswa.

Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker