HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Usimamizi wa tume iliyopita ya IEBC waandamwa kuhusu zabuni ya 2013

Huku makamishna watatu wa tume ya IEBC wakijiuzulu leo ,zabuni ya mitambo ya kielektroniki iliyotumika wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2013 ingali inawaandama watangulizi wa tume ya sasa.
Aliyekuwa afisa mkuu mtendaji wa tume ya IEBC James Oswago na mwenyekiti Issack Hassan hii leo walikuwa mbele ya kamatyi ya uhasibu bungeni kujibu maswali ambayo licha ya kuondoka kwao afisini yangali kupata majibu.

Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker