HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Serikali imechukua jukumu la maandalizi ya mazishi ya Matiba

Kufutia kifo cha mwanasiasa mkongwe Kenneth Stanley Njindo Matiba, aliyefariki baada ya kukumbwa na mshtuko wa moyo,serikali imesema itachukua jukumu la maandalizi ya mazishi yake huku kamati itakayoongozwa na mkuu wa utumishi wa umma Dkt Joseph Kinyua ikibuniwa.
Kenneth Matiba, aliyefariki hapo jana katika hospitali ya Karen amezidi kumiminiwa sifa kochokocho na wakenya kwa kujitolea kwake kutumikia taifa lake licha ya kutotambuliwa na serikali alipokuwa hai.

Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker