HabariMilele FmSwahili

Shinikizo zatolewa kwa IEBC kuvunjwa na makamishna wapya kuteuliwa

Tume ya uchaghuzi na mipaka inapaswa kuvunjwa mara moja na makamishna wapya kuteuliwa. Mbunge wa Muhoroni James Koyo na mwakilishi akina mama laikipia Cate Waruguru wamesema baada ya kujiuzulu makamishna watatu leo, ni bayana kuna tatizo katika tume hiyo. Wamemtaka mwenyekiti Wafula Chebukati pamoja na makamishna waliosalia kujiondoa kuruhusu kundi lingine jipya kuchukua usukani. Pia wameomba kufanya uchunguzi wakina kuhusiana na tuhma za matumizi mabaya ya fedha zinazomkabili afisa mkuu mtendaji Ezra Chiloba.

Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker