HabariMilele FmSwahili

Rufaa ya kupinga ushindi wa gavana Sonko yatupiliwa mbali

Gavana Mike Sonko wa Nairobi atasalia afisini. Hii ni baada ya rufaa iliyowasilishwa na naibu mkurugenzi wa chama cha ODM kuhusu masuala ya kampeini dr Noah Akala kutupiliwa mbali. Akala alikwua amefika mahakamani kukata rufaa dhidi ya uamuzi wa kumruhusu Sonko kuendelea kuhudumu baada ya kesi iliyokuwa imewasilishwa na wakenya wawili wakitaka uchaguzi wake kubatilishwa kutemwa. Mahaka ya rufaa hata hivyo imeamua kuwa hakuna ushahidi unaoweza kubatilisha ushinid wa gavana Sonko.

Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker