HabariMilele FmSwahili

Wahadhiri wataka Rais Kenyatta kuingilia kati na kutatua mgomo wao

Wahadhiri sasa wanamtaka rais Uhuru Kenyatta kuingilia kati na kutatua mgomo wao. Wanadai maafisa wa wizara ya elimu,fedha na baraza la manaibu chansala wamekuwa wakijadiliana pasi na kuwahusishwa. Katibu wa muungano wa KUSU Charles Mukwaya anasema iwapo hatua haitochukuliwa upesi basi mgomo utaendelea.

Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker