HabariMilele FmSwahili

Familia zasalia bila makao Nyando na Muhoroni baada ya mto Nyando kuvunja kingo

Baadhi ya familia zimesalia bila makao katika maeneo ya Nyando na Muhoroni kaunti ya Kisumu baada ya mto nyando kuvunja kingo.zaidi ya nyumba 15 zimeriporiwa kusombwa na mafuriko na mali ya mamilioni ya fedha kuharibika kutokana na mafuriko hayo. Barabara kadhaa pia zimeharibiwa na mafuriko. Kaunti ya Kisumu ni mojawapo wa kaunti zilizoathirika na mafuriko hayo maeneo ya Ahero zaidi ya familia elfu 2 zikiachwa bila makao hapo jana

Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker