HabariMilele FmSwahili

Chebukati na makamishna wa IEBC waliosalia wapewa makataa ya siku 7 kujiuzulu

Mwenyekiti wa IEBC Wafula Chebukati na makamishna waliosalia wamepewa makataa ya siku 7 kujiuzulu. Kiongozi wa wachache katika bunge la seneti Kipchumba Murkomen anasema iwapo watakosa kufanya hivyo watabuni jopo la kuwachunguza. Haya yanajiri baada ya kujiuzulu kwa makamishna Connie Nkatha,Paul Kurgat na Magret Mwachanya kutokana na migawanyiko iliyoko kwenye tume hiyo.

Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker