HabariMilele FmSwahili

Gavana Laboso amtaka Gideon Moi kumuunga mkono William Ruto kuwania urais

Gavana wa Bomet Joyce Laboso amemtaka seneta wa Baringo Gideon Moi kuweka kando azma yake ya kuwania urais na kumuunga mkono naibu wa rais William Ruto. Laboso anasema Ruto ana umaarufu zaidi miongoni mwa viongozi eneo la Rift Valley. Naye mbunge wa Bomet Mashariki Beatrice Kones anasema wabunge wa rift valley wanapanga kumtembelea rais mustaafu Daniel Moi akisema mkutano wa Raila Odinga na Moi hautaathiri juhudi za William Ruto kuwania urais.

Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker