HabariSwahili

Rai Mwilini : Mtoto au mtu mzima aweza kuokolewa iwapo atasakamwa akila

Visa vya waototo kusakamwa na chakula na kisha kufariki vimeshuhudiwa mara kadhaa.
La kuhuzunisha zaidi ni kuwa hali hii inaweza zuiwa iwapo mtu atafahamu unachopaswa kufanya pindi mtu anaponyongwa  na chakula.
Katika makala ya wiki hii ya Rai Mwilini mwanahabari wetu Grace Kuria anatafuta suluhu ya tatizo hili.

Show More

Related Articles