HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Winnie Mandela azikwa  katika mazishi yaliohudhuriwa na viongozi mseto

Maelfu  ya raia wa nchi ya Afrika Kusini na ulimwengu mzima hii leo wamejumuika katika  uwanja wa mchezo wa Orlando katika eneo la Soweto Afrika Kusini kumpa mkono wa buriani mwanasiasa mkongwe Winnie Madikizela Mandela.
Katika hafla iliyohudhuriwa na kinara wa NASA Raila Odinga viongozi wa nchi mbali mbali wakiemo Gracia Machel.
Thabo Mbeki amekumbukwa kwa kusaidia pakubwa kuleta uwiano na ukombozi wa nchi hiyo ya Afrika Kusini.
Hata hivyo kiongozi wa upinzani humo Julus Malema pamoja na familia yake Winnie Mandela wamewaonya viongozi dhidi ya kuomboleza wakati huu na mapema walikuwa wakimkashifu kazi za Winnie.

Show More

Related Articles