HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Almasi topeni: Kutana na kundi la wakulima walioanzisha kichinjio katika kitongoji duni

Unaposema kitongoji duni kinachowaajiri wengi ni eneo chafu lisilokuwa na chochote kizuri.
Lakini sivyo kila wakati mpenzi mtazamaji kuna maeno ambayo kuna biashara zinazotambulika si hapa nchini lakini pia nje.
Katika kitongoji duni cha Baba Dogo, ni nyumba ya kichinjio cha neema ambacho kimeanzishwa na kundi la wakulima ajabu.
Nyama yao japo kutoka maeneo hayo, imevutia masoko ya nje.

Show More

Related Articles