HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Wanafunzi nane wakamatwa wakijihusisha na ufuska katika bustani ya Michuki

Watoto wa umri isiyozidi miaka kumi na nane wamekamatwa katika  Bustani ya Michuki karibu na mto Nairobi wakijihusisha katika ufuska wa kupiga picha.
Inasemekana watoto hawa wanahusika katika shughuli hii ya kuuza picha zao ili kuwa na umarufu katika jamii na kuwa gumzo mitaani.
Mwanahabari wetu Franklin Wallah anaelezea haya siku moja baada ya masuala hayo ya picha kama hizo kuwatamausha wengi, na kuzua gumzo ni wapi kizazi cha sasa kinaelekea.

Show More

Related Articles