HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Naibu William Ruto ahoji hana muda wa siasa za mwaka 2022

Naibu wa Rais William Ruto amesema hayuko tayari kujihusisha na miereka ya siasa za uchaguzi mkuu ujao na kuwaonya viongozi wanaoendeleza siasa hizo kujitenga na siasa hizo kwa muda.
Akizungumza katika uwanja wa Kapkatet kaunti ya Kericho mapema leo Ruto ametupilia mbali pendekezo la mswada wa marekebisho ya katiba akisema hiyo itakuwa hujuma kwa wakenya wanaotarajia huduma mahsusi kutoka kwa viongozi.
Haya yanajiri huku baadhi ya viongozi kutoka eneo la bonde la ufa wakimtaka Seneta wa Baringo Gideon Moi kuweka kando azma yake ya kuwania urais na badala yake kumuunga mkono Ruto.

Show More

Related Articles

Check Also

Close