HabariMilele FmSwahili

Ruto atoa hakikisho kwa kina mama kuwa mswada kuhusu uwakilishi jinsia utapata ungwaji mkono

Naibu Rais William Ruto ameotoa hakikisho kwa akina mama kwamba juhudi zao kupitisha mswaada kuhusu uwakilishi jinsia zitapata ungwaji mkono. Ruto akizungumza nyumbani kwake hapa Nairobi baada ya kukutana na muungano wa wabunge wa kike KEWOPA, Ruto amesema iwpaoa mswaada huo utakua sheria akina mama watapewa nafasi nzuri ya kupambana na wanaume. Pia ameahidi kuendelea kuwapa nafaisi zaiid akina na serikali.

Show More

Related Articles