HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Wahadhiri wasema watarejea kazini tu serikali ikiwapa hela

Miungano ya wafanyakazi wa vyuo vikuu nchini imelaumiana na serikali kuhusu mgomo unaoendelea na hata kutatiza masomo kwenye vyuo vikuu nchini.
Wakiwasilisha msimamo wao wakati wa kikao cha kamati ya bunge kuhusu elimu viongozi wa miungano hiyo wamesema watarejea kazini wakati serikali itatoa pendekezo lake kuhusu nyongeza na marupurupu.

Show More

Related Articles