HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Wazazi wapewa changamoto kujua wanao wanafanya nini mitandaoni

 

Je unafahamu mtoto wake anatazama nini kwenye simu ya rununu unayompa.? au je unafahamu mchezo anaoupenda unahusisha nini na nani? Iwapo hujui basi inakufaa kujipa shughuli na kufahamu.

Haya yalifahamika hii leo baada ya ripoti kuhusu watoto na mitandao kubani kuwa asilimia 54 ya watoto nchini walo na umri wa chini ya miaka 18 wamehusishwa au wanajua mtoto mwenza ambaye amehusishwa na picha chafu au mazungumzo ya ngono.

Na kama anavyotuarifu Joab Mwaura, ni tahadhari kwa wazazi sasa kuwajibika na kukumatia suala nzima la wanayoyafanya watoto wao.

Show More

Related Articles

Check Also

Close