Mediamax Network Limited

Kenya yapata dhahabu ya kwanza kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola, Australia

Kenya imejipatia dhahabu ya kwanza kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola inayoendelea Australia. Wyclif Kinyamal amemaliza wa kwanza katika mbio za mita 800 na kumbwaga mtimkaji mzoefu wa Botswana Nijel Amos.