HabariMilele FmSwahili

Raila akutana na rais mstaafu Daniel Moi

Kinara wa NASA Raila Odinga amekutana na kushauriana na rais mstaafu Daniel Moi nyumbani kwake huku Kabaraka. Raila ambaye aliambatana na viongozi mbalimbali kutoka nchini walijadil ikuhusina na hali ya siasa nchini.

Show More

Related Articles