HabariMilele FmSwahili

Aliyekuwa waziri wakati mmoja Simeon Nyachae asafirishwa Afrika Kusini kwa matibabu

Aliyekuwa waziri wakati mmoja Simeon Nyachae amesafirishwa hadi Afrika Kusini kwa matibabu zaidi baada ya kuanguka nyumbani kwake hivi leo. Inakisiwa Nyachae wa miaka 86, alikuwa ametibiwa awali katika hospitali ya Nairobi kwa kile kinachodaiwa kuwa kiharusi.

Show More

Related Articles