HabariPilipili FmPilipili FM News

Serikali Yaombwa Kuwekeza Zaidi Katika Vyuo Vya Kiufundi

Maswali yanaendelea kuibuka kufuatia idadi ndogo ya wanafunzi waliojitokeza kujiunga na vyuo vya kiufundi licha ya kupata alama za chini katika mtihani wa kidato cha nne mwaka jana.

Kati ya wanafunzi wote waliopata alama ya d na E, ni wanafunzi elfu tano pekee waliotuma maombi, wakitaka kujiunga na vyuo vya kiufundi ili kuendeleza masomo yao.

Wanafunzi wanaosomea vyuo vya kiufundi wameitaka serikali kuwekeza zaidi katika vyuo hivyo, badala ya kuwekeza raslimali zote kwa vyuo vikuu.

Show More

Related Articles